Pedagogy of CBC Upper Primary Kiswahili - Trailer

Mwongozo huu wa ufundishaji wa Kiswahili umeandaliwa walimu wa Kiswahili wa madaraja ya juu katika shule za msingi. Tazama video hii fupi ili kujua nini cha kutarajia katika kozi hii.

Video ya Kozi

Mwongozo huu wa ufundishaji wa Kiswahili umeandaliwa walimu wa Kiswahili wa Gredi ya 4, 5, na 6 katika shule za msingi. Mwongozo unalenga mbinu mbalimbali za ufundishaji zinazolenga mtaala wa umilisi na utekelezaji. 

Mwezeshaji wetu anakuonyesha jinsi unavyoweza kutumia mbinu hizi kuboresha somo la Kiswahili kwa kutumia mada mbalimbali katika kila gredi. Ikiwa unataka cheti cha ukamilishaji, jiandikishe kwa kutumia “Register/Login”

vipengele vya kozi

Mambo Utakayojifunza

Sampuli ya Nyenzo za Kozi

Je, uko tayari kuchukua hatua?

Jisajili na uingie kwenye tovuti ya CBC Training ili kuchukua kozi hii na kupata cheti chako! Gharama ni shilingi 450 pekee!