Pedagogy of CBC Lower Primary Kiswahili - Trailer

Mwongozo huu umeundiwa walimu wa CBC Kiswahili wa Madaraja ya Chini katika shule za msingi. Tazama video hii fupi ili kujua nini cha kutarajia katika kozi hii.

Video ya Kozi

Mwongozo huu umeundiwa walimu wa CBC Kiswahili wa Madaraja ya Chini katika shule za msingi. Mwongozo wenyewe unachunguza muundo wa Kiswahili katika madaraja ya chini. Kisha unaangalia vipengele muhimu vya kuzingatia ili kufanikisha somo la Kiswahili katika Gredi ya 1, 2, na 3.

Ukikamilisha kozi hii utaweza kutumia mbinu hizi katika darasa lako la CBC. Ikiwa unataka cheti cha ukamilishaji, jiandikishe kwa kutumia “Register/Login”

Vipengele Vya kozi

Mambo Utakayojifunza

Sampuli ya Nyenzo za Kozi

Je, uko tayari kuchukua hatua?

Jisajili na uingie kwenye tovuti ya CBC Training ili kuchukua kozi hii na kupata cheti chako! Gharama ni shilingi 450 pekee