Mwongozo huu ni awamu ya pili katika mfululizo wa mafunzo ya Kiswahili katika madaraja ya juu. Mwongozo huu unalenga haswa mbinu za ufundishaji wa ufahamu na msamiati katika mtaala wa umilisi na utekelezaji katika Gredi ya 4, 5, na 6. Tazama video hii fupi ili kujua nini cha kutarajia katika kozi hii.
Mwongozo huu ni awamu ya pili katika mfululizo wa mafunzo ya Kiswahili katika madaraja ya juu. Mwongozo unalenga haswa mbinu za ufundishaji wa ufahamu na msamiati katika mtaala wa umilisi na utekelezaji katika Gredi ya 4, 5, na 6.
Mwezeshaji wetu anakuonyesha jinsi unavyoweza kutumia mbinu hizi kuboresha somo la msamiati na ufahami katika kila gredi. Ikiwa unataka cheti cha ukamilishaji, jiandikishe kwa kutumia “Register/Login”
Jiandikishe na uingie kwenye tovuti ya CBC Training ili kuchukua kozi hii na kupata cheti chako! Gharama ni shilingi 450 pekee!
You must be logged in to post a comment.